Psalms 49:14


14 aKama kondoo, wamewekewa kwenda kaburini,
Kaburini hapa ina maana ya Sheol kwa Kiebrania, yaani Kuzimu.

nacho kifo kitawala.
Wanyofu watawatawala asubuhi,
maumbile yao yataozea kaburini,
mbali na majumba yao makubwa ya fahari.
Copyright information for SwhKC